Wizara ya Afya imeanza kutumia teknolojia ya Panyabuku katika kubaini ugonjwa wa Kifua Kikuu (Tuberculosis )

Na Barnabas kisengi morogoroFebruary  26 2021 Wizara ya Afya imeshaanza kutumia teknolojia ya Panyabuku katika kubaini ugonjwa wa Kifua Kikuu (Tuberculosis ) kwa sampuli za wagonjwa wenye dalili hizo ili kuongeza uwezo wa kutambua vimelea hivyo hasa pale ambapo njia zingine zimekuwa zimeshindwa kubaini.  Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Abel Makubi ambaye alitembelea kitengo hicho